Tuesday, January 26, 2010

kiwi ni muhimu

hebu jitokeze jionyeshe bele ya watu mng'aro wa kiwi

mtu wangu hii ni model ipi?
"hii ni air force na hua naivaa sunday peke yake coz ni sunday best hata infact neighbour hua anaikoboa akienda tour n for security purposes wen i wash it, it has to dry wen am there isisanywe" more



No comments:

Post a Comment